Recent content by Dogoalice

  1. D

    Kubebana kunavyoathiri dhana na dhima ya taasisi zetu

    Jana niliaidi kueleza japo kwa ufupi tu kile kinachoendelea kwenye taasisi ya umma tena ya elimu ya juu ambapo asasi za kijamii, taasisi binafsi, mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGOs), mashirika wakala ya serikali na hata watu binafsi (mmojammoja) walioowengi wangependa kujifunza kutoka...
  2. D

    Kubebana kunavyoharibu dhana na dhima ya taasisi zetu

    Macho na maskio ya watanzania walio wengi wanapenda kuona na kusikia maendeleo mazuri ya taasisi za elimu ya juu. Elimu bora kwa vijana ambao ni taifa la kesho na utawala bora kama mfano kwa taasisi nyingine za umma na binafsi ndio makusudio ya watanzania. Higher learning institution is a place...
Back
Top Bottom