Recent content by Dodo2012

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Umenichekesha sana😂😂😂😂
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Wewe ndiyo huna hilo lolote kabisa mpaka utoke kwenu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Acha kumchafua Tulia,alipambana kwa upande wake,ila uzembe wa baadhi ya watendaji wa serikali imeleta tena huu mgogoro. https://youtu.be/07R4TzuZGWE
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Kwanza sina eneo hapo mimi ila nawahurumia wale wajane wazee waliojenga wanalea wajukuu, wewe kwa sababu mtoto wa mama kula kulala huwezi elewa kubwa jinga wewe
  5. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Utajulia wapi kutafuta wewe msubiri nyumba za urithi? Hujui hata bei ya kiberiti.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Hawamtegemei tulia hata chembe ndiyo maana kilio chao wameelekeza kwa Mheshimiwa Waziri mkuu na Mheshimiwa Rais
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Sikiliza ujue mvamizi ni nani https://youtu.be/07R4TzuZGWE
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Watu wanaoishi kwa mama zao wakisubiri wazazi wafe warithi nyumba wanafurahia mahustlers wa maisha wakiwa wanaumizwa. Tafuta yako hiyo itakubomokea utupe shida kukuzika.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Hamna shamba pale ila makorongo, mashimo ya kokoto na matofali, hata hivyo kuna uzembe kwa watendaji wa serikali,imagine mgogoro una miaka zaidi ya 40. Mgogoro ukatatuliwa ukaibuka tena.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

    uKweli Forex ni saikologia baaaasi. Tatizo kubwa hapo emotions,expectafion,greed etc ndiyo zinafanya watu wapigwe sokoni. Ukiichukulia forex kama biashara ya duka,kwamba kuna siku unauza sana,kuna siku napata kidogo,kuna siku siuzi kabisa,kuna siku nitakuta bidhaa imeexpire inabidi...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Siku akiacha kuishi kwa mama yake akaanza kutafuta kama hustler wengine ataacha kuongea upuuzi.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Eneo lenyewe lenye mgogoro ukiliona lina vilima,watu wamechimba kokoto,wengine matofali,asilimia kubwa wanaojenga wanafanya leveling. Ndugu yangu hilo eneo kwa akili yangu ndogo, kilimo hawalihitaji nahisi inawezekana kabisa kukawa na kigogo analitaka ila anapitia mlango wa Kilimo. Ila watu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Huna akili mtoto wa Mama wewe hama kwenu kwanza
  14. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    TARI ndiyo wamevamia https://youtu.be/07R4TzuZGWE
Back
Top Bottom