Kanumba alienda kama guest celebrity lakini si one of the participants ambao wataishi ndani ya big brother house. Kwa kweli amevunja mayai mengi alivyokua anaongea, lakini nilipenda alivyojitahidi kutoa ushauri kwa mates, kwamba hata kama wakisurvive kwa siku chache zinatosha kwa wao kutoka...
Mi nadhani tumpe (tuwape) rais na wasaidizi wake "benefit of a doubt" tuone watatuletea nini leo. Tusianze kuwa pre-empt! Huo muda ni mdogo sana na hataweza kujibu hayo maswali yote, lakini tuone watasawazisha vipi, na hakika kesho tutaweza kujadili zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.