Recent content by Doctor C

  1. D

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dr. Hussein Mwinyi Wizara ya Afya Umezingatia Masuala ya Muungano?

    Nafikiri suala la muungano halikuzingatiwa hapa ila kilichoangaliwa zaidi ni taaluma aliyonayo Dr Mwinyi na mhe President anaamini atafit zaid katika wizara hiyo ya afya kuliko ile ya ulinzi so suala la muungano halihusiki kwa hapo.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    The day is coming kwa mabadiliko makubwa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Nafikiri kikubwa cha kusikitisha hapa ni kwa kutokupewa wizara kamili na kuwekwa chini ya mhe. huyu......... kazi ipo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Hakika, wonders shall never end in our lovely and peacefully country.......
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hi!!

    Wenzetu wa Dom, kipi kinaendelea Mjengoni kwa sasa?
Back
Top Bottom