Recent content by Do Reforms

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msiyoyajua kuhusu watu wa mtandaoni wanaotetea mauaji yaliyofanywa na Vyombo vya Usalama dhidi ya raia siku ya maandamano

    Wewe ndiye ule mtandao au? Maana umeegemea upande mmoja tu, waliofuatwa majumbani mwao huzungumzii kabisa.. Au wewe ndiye mganga uliyeagiza hizo damu za watu? Kwa hakika hazitaenda bure kama unavyofikiria, pengine Mungu atashusha pigo baya kuliko unalofurahia, uzuri Mungu hapokei rushwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Samia leo umenikwaza mno mno mno

    Waliofuatwa Majumbani mwao je? Huwezi halalisha uovu kwa uovu.. Pengine hata wewe yangeweza kukukuta.. Ongea kama haikuhusu.. lakini ipo siku utagundua hukua sahihi.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Samia leo umenikwaza mno mno mno

    Hii kitimoto imeshiba pumba inabwabwaja
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naichukia CHADEMA lakini kwenye suala la muungano tuko pamoja

    Kaka itakuwa kwa kulazimisha maana namsikia Mtenga anasema liwalo na liwe eti police wasiingilie wala wasiwalinde cdm, mmepanga kurusha bom tena nn?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Siha Ajiunga na CHADEMA

    Nyie ccm mnakumbuka huo msingi? Je kauli ya kuwa Dr. Slaa ana mapepo saba ndo siasa safi? Jitambue!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Siha Ajiunga na CHADEMA

    hongera kamanda kwa kujitambua.
Back
Top Bottom