Recent content by dnsHyr75

  1. dnsHyr75

    Diploma in Pharmacy vs Diploma in Nursing

    asante sana mkuu,wewe ndio umekuja na jibu sahihi la swali langu,heshima sana
  2. dnsHyr75

    Diploma in Pharmacy vs Diploma in Nursing

    hapana nakwenda private mkuu
  3. dnsHyr75

    Diploma in Pharmacy vs Diploma in Nursing

    mkuu umekurupuka kama una ushauri kaa kimya,maana hujui alicho nacho mtu,ndo mana sikuzungumzia kuajiriwa, nimezungumzia kujiajiri,ulipaswa kutoa ushauri ulio nao sio kuzodoa,unafeli wapi msomi mwenzangu!?
  4. dnsHyr75

    Diploma in Pharmacy vs Diploma in Nursing

    ninataka kusoma moja kati ya hizi ila naombeni kujua ipi ni nzuri kujiajiri na rahisi kuliko nyingine,na je Nurse anaweza akajiajiri katika ajira ya umiliki na uuzaji wa duka la dawa za binadamu? naomba kuwasilisha.
  5. dnsHyr75

    Status za Nacte jamani msaada..

    Sasa hizi ni mbanga gani sasa jamani duh...
  6. dnsHyr75

    Status za Nacte jamani msaada..

    nashukuru sana mkuu
  7. dnsHyr75

    Kwa wote walioomba vyuo kupitia Nacte

    sio nilichoomba kujuzwa mkuu nilitaka nijue tu kama wapo walioomba vyuo hivyo na ikoje kwao,na hapo haipo Bugando peke yake,samahani lakini
  8. dnsHyr75

    Kwa wote walioomba vyuo kupitia Nacte

    samahani jamani kwa aliyechaguliwa vyuo hivi: Bugando school of nursing Kiomboi school of nursing Nzega school of nursing Tanga school of nursing Kahama school of nursing kama yupo tafadhali naomba kujuzwa
  9. dnsHyr75

    Status za Nacte jamani msaada..

    yani kulog in haina shida ila unakuta kwamba congratulations,you have reached end of application process........hivo yani...sijui ndo bye bye...kwani ukikosa si pia wanakupa taarifa?
  10. dnsHyr75

    Nacte wametoa selection.

    sawa mzee wa kazi
  11. dnsHyr75

    Nacte wametoa selection.

    asante mkuu kwa reply yako
  12. dnsHyr75

    Nacte wametoa selection.

    duh asante sana mkuu angalau umenipa moyo
Back
Top Bottom