Recent content by Dmkongola

  1. Dmkongola

    Rafiki yangu kavunjiwa nyumba mara mbili mwezi mmoja ilazo Dodoma (ana mbwa wa ulinzi Boerboel)

    Inakuwa bei gani? Ilazo Dodoma sio pembezoni, mji umepanuka saivi na hata watu wakubwa serikalini wanaishi hio mitaa. Alafu mm nashangaa Dodoma gani mnayosema ipo safe? Kabla sijahama Dodoma 2022 hapakuwa safe kabisa vibaka wengi, boda usiku wameuliwa sana na kuibiwa pikipiki zao. waliruka...
  2. Dmkongola

    Rafiki yangu kavunjiwa nyumba mara mbili mwezi mmoja ilazo Dodoma (ana mbwa wa ulinzi Boerboel)

    Rafiki yangu mmoja katoka Dar kahamia Dodoma, ana kama miezi mitatu Dodoma. Alivyo hamia wezi wamevunja kwake mara mbili mara ya kwanza walipita na laptop, tv na vitu vingine vidogo. Akaona isiwe kesi, akanunua mbwa ingawa hakuwa amekuwa sana ila alikuwa anabweka na alikuwa active ila bado wezi...
  3. Dmkongola

    Jinsi gani kijana unakuwa high value?

    Visura mhaho ndo nini kaka?
  4. Dmkongola

    Jinsi gani kijana unakuwa high value?

    Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie. Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men. High value man anakuwaje kulingana na watu, wanawake pia tuambieni mnapenda nn kwa wanaume?
Back
Top Bottom