Recent content by DLc

  1. DLc

    JamiiForums Tanzania Nani anajua kuhusu hii?

    Kuna yeyote anaweza kunisaidia kujua hiki ni nini jamani. Naona matangazo yake yanasambaa sana kwa kasi " FREEMANBASE "
  2. DLc

    JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  3. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    😂😂😂
  4. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Perfect
  5. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Upungufu wa kitu mwilini ndiyo tatizo lenyewe, maana yake haujakamilika, tatizo(ugonjwa) ni any an abnormal condition in the body, it can be genetic disorder or condition caused by life style
  6. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Upungufu wa nguvu za kike unaojulikana pia kama "low libido" au "hypoactive sexual desire disorder" kwa Kiingereza, ni hali ambayo mwanamke anakosa hamu ya kufanya mapenzi au ana hisia ndogo za kimapenzi kuliko kawaida. Hii inaweza kutokea kwa muda au kuwa hali ya kudumu, na mara nyingi...
  7. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    😂😂😂 Visababishi vipo humu humu kwenye jamii Wala si kingine
  8. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Kabis Kabisa, wakati mwingine mwanaume anapaswa ajiamini kuwa yuko timamu kimwili, swala la kupambana na madawa ni kujiharibu ingali tatizo ni la mwanamke
  9. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Na hilo ni tatizo kubwa sana Kwa wanawake Kwa sasa, hata wakati mwingine mwanaume anabeba lawama zisizo zakwake wakati wa Tendo la ndoa
  10. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Sambamba 🫡
  11. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Tendo la Ndoa ni kitendo Cha kujamiana kihalali, Uzinifu ni kujamiana isivyo halali 😅
  12. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Pochi nene itamsaidia mwanaume tu kupata kile anachokitaka Kwa Mwanamke lakini katika Tendo la Ndoa haitaongeza chochote
  13. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Hapahitaji dawa ya usingizi, anatakiwa apate usingizi wa kawaida ifanyike kama reaction ya mwili, alipewa dawa ya usingizi anakuwa anatengeneza reaction nyingine mwilini tofauti na ilivyokusudiwa
  14. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    😂😂😂
  15. DLc

    JamiiForums Tanzania Tiba ya nguvu za kike

    Kabisa
Back
Top Bottom