Majibu kila mmoja huweza kupima kwa mtazamo wake na ndiyo maana, mtihani mmoja, mwalimu mmoja, majibu mbalimbali kwenye topiki moja na ufaulu mbalimbali pia.
Haya basi mshindi wewe, pokea tuzo ya ushindi. Acha basi niendelee na mengine na wewe na mengine kisha muda utakuja uamue. Eti si ndiyo uungwana huo? Heri ya miaka mipya ijayo🤗
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.