Recent content by dks1131

  1. dks1131

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Hii story ilivoingiliana na kufahamiana kwa watu nje ya hapa ndo hapo mambo yalipoishia hapo😅
  2. dks1131

    Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

    Wakampiga akafa wakamchoma moto na stori ikaishia hapo😂
  3. dks1131

    Wauzaji wa vifaranga bora

    Kwamba jamaa wana variety zote za kuku, sijui wanatuonaje😂
  4. dks1131

    Nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya

    Hela ikija kabla ya wazo unafanyaje mkuu?
  5. dks1131

    Nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya

    Wale mnaoishi Kahama na viunga vyake naombeni msaada wa maoni yenu, nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya ili na mimi niweze kuishi mjini vizuri. Natanguliza shukrani
  6. dks1131

    Biashara ya Kuuza chips

    Umefunga biashara maaka ake mkuu?
  7. dks1131

    Kazi za migodini

    Mkuu ulifanikiwa kwenda? Tunaomba mrejesho
  8. dks1131

    Muongozo wa bei kwa fundi welding

    Seat ya mbele kwenye vitanda hapo
  9. dks1131

    Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Hii ndo kama ile wanafanya pale mawasiliano?(jina nimesahau) Hongera mkuu kwa wazo hiko
Back
Top Bottom