Recent content by Dkanimba

  1. Dkanimba

    Korosho kanda ya ziwa

    Samahani, kwa nini? Sema mimi nataka tu kujua kama ni jambo linalo wezekana kutoka kwa wana jamiiforum. Sema ushauri wako pia nita ufanyia kazi ila kwa sasa naomba mawazo kutoka humu.
  2. Dkanimba

    Korosho kanda ya ziwa

    Habari wana jamii forum, zao la korosho nimeona likilimwa sana pwani sasa nimekua nikijiuliza hivi je kuna uwezekano wa kulima hili zao la korosho katika ukanda wa ziwa (ziwa viktoria, Mwanza? Naombeni msaada wenu.
  3. Dkanimba

    Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa

    C Asante sana mkubwa, chuo kikuu
  4. Dkanimba

    Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa

    Ni kweli mkubwa nimejiunga siku nyingi nikiwa bado nipo sekondari, shinda sikua active tu ila kwa sasa na imani tutaonana sana humu ndani ya jamiiforum.
  5. Dkanimba

    Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa

    Samahani mkubwa kwa ushauri wako mkoa upi una faha
  6. Dkanimba

    Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa

    Asante kwa ushauri mzuri ndugu, ila ni nafaka ipi au zipi unazoona kwa kuanza nazo hazina shida na zina weza kuleta faida ya kutosha nikiwa na maana soko la uhakika na bei nzuri.
  7. Dkanimba

    Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa

    Sijawahi kufanya hii shughuli hii itakua mara yangu ya kwanza ila na imani naweza, katika swala la soko bado nafanya uchunguzi ila kwa mtazamo wa haraka naona soko lipo, nyumbani ni Dar ila kwa sasa nipo Mwanza ndio nimemaliza chuo mwaka huu na naona Mwanza ni mji unao kua so nataka shughuli...
  8. Dkanimba

    Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa

    Kweli mkubwa kama na wewe unaona huo ni mwanzo mzuri basi acha nipambane, maana nia kuu ya huu uzi wangu ni kupata mtazamo wa watu wengine juu ya mwanzo mzuri..shukrani sana
  9. Dkanimba

    Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa

    Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa, wazo kuu linalo nijia kichwani ni kuanza kua na eneo la kujitosheleza ambalo nitahitaji mtaji mdogo tu wa kuanzia ambao mpango wa kwanza niku uwekeza katika ufugaji wa kuku na nguruwe. Mategemeo yangu niku zalisha pesa zaidi kutokana na huo ufugaji ambapo...
  10. Dkanimba

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Nimependa sana jinsi ulivyo weza kufafanua kuhusu ufugaji wa kuku, ila mimi bado nahitaji maelezo ya kiundani zaidi juu ya ufugaji wa hao kuku wa kisasa {nyama}, maana ndo kwanza nataka nianze na idadi ya kuku mia mbili, ila chakushangaza nimepiga hesabu ila naona hailipi hata kidogo, labda...
Back
Top Bottom