Recent content by django1985

  1. D

    Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

    Amesahau kama yeye ni mchaga kutoka Tz kaskazini anapata je? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    Ole Nangole aliyekuwa mbunge wa jimbo la Longido(CHADEMA), ashindwa Rufaa ya Ubunge, Uchaguzi kurudiwa

    Kampeni itakuwa je? members wa majimbo mengine ktk Kampeni wataruhusiwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

    Ulijua je? Wewe utakuwa mganga wa kienyeji Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

    Jerry jitahidi nafasi za uteuzi bado nyingi tu, Unafuta Kiki kwa pikipiki [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Ishu ya bombardier haiwezi kubadilisha upepo

    Nani alikuambia kuwa suala la Bombardier limebadirisha upepo? Taaratibu mtaelewa tu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    KANU nayo sasa ni kibaraka? UPC ya kaunda nayo sasa ni kibaraka? unatakiwa kupimwa mkojo wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Hii iko juu nawa subiri nione Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Ndy mnavyo aminishwa? Kazi tunayo hivi hili kosa angeküa kalifanya waziri mwingine ýoyote hivi sasa hali ingekua je? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Kosa la chadema ni kuwajulisha wa Tz kile kilicho tokea? Kwa nini tusihoji sababu ya kutokea hili ? Kwa hili inabidi tu hoji akili zetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Chadema ndy walisitisha mkataba isivyo halalı? au mlijuwa watakwenda kushitaki kwenye mahakama zenu? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Kaka ile hukumu ya mahakama imesajiriwa Canada, Uganda na nchi nyingine hata uganda wanģeweza kuja kukamata mali za Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Kudaiwa sio tatizo kabisa,tatizo deni lenyewe limepatikana ktk mazingira gani? Bahati mbaya? Uzembe? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    EFM walimualika Makonda ili wamdhalilishe?

    Nisaidieni kujuwa hii tafsiri ya zomea zomea asiye takiwa Magu au Bashite au wote? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom