Recent content by dj mix

  1. D

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Kuna group lipo na baadhi ya hizo nyimbo hapo juu utapata, ukweli hizo nyimbo inavyoonyesha hazipatikani hovyo mtaani 7b nlienda Kariakoo hakuna. Nimejaribu kwenda TBC pale nikaishia kupewa ahadi hewa kwani niliambiwa zipo ila zipo kwenye zile tape za zamani. Kwa hiyo niache flash then zikiwa...
  2. D

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Dah kaka pia huko cjapata pia.
  3. D

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Hamna kaka, nimetafuta ila cjaona.
  4. D

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Wadau habari za leo, naomba mwenye link au nyimbo za band ya Diamond Sound ' wana ikibinda nkoi' anisaidie either kwa kunitumia whatsapp 0712 000 464, email abrahamashiraf@gmail.com or aweke link hapo me ntaztafuta.
Back
Top Bottom