Natangaza nafasi za hostel kwa wanafunzi wanao hitaji . Hostel ipo mwenge kituo mpakani inapakana na oil com. Bei 75,000 kwa mwezi Kwa Kitanda . Wasiliana nami 0752 886866
Chumba kikubwa kina double deck Tatu Yani watu 6 viko viwili na vyumba vitatu vina double deck mbili watu 4 kuna chumba cha kujisomea japo vyumba vina nafasi Ya kujisomea bei 70 - 75,000per month per head Maji yapo ful time karibu na vyuo vyote eneo la mwenge
[SIZE=3]Napenda kuwatangazia uwepo wa nafasi za vitanda kwa wanafunzi wa jinsia ya kike tu! Kwa maana ya Hostel! Eneo Mwenge, Nyuma ya Oil Com. Chumba kikubwa kina double deck Tatu Yani watu 6 viko viwili na vyumba vitatu vina double deck mbili watu 4 kuna chumba cha kujisomea japo vyumba vina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.