Recent content by Diwani Unga Ltd

  1. D

    Halmashauri ya jiji la Arusha yanyang’anya maduka ya wazee, wajane na wagonjwa stendi ndogo

    Ukitaka duka nenda kwa Mwanasheria wa Jiji akupe maelekezo kuhusu Utaratibu siyo kupotosha umma kwa kiandika uongo na kusingizia watu uongo kabisa. Jifunze kutoa taarifa za ukweli na Kama utaona Mwanasheria wa Jiji hatokupa majibu sahihi unaweza kumwona Mkurugenzi wa Jiji La sivyo unaweza...
  2. D

    Figisu figisu Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa

    CCM hakunaga demokrasia
  3. D

    Hesabu hizi za CHADEMA sijui kama zitagawanyika au ni hesabu za kutazamia tu?

    kichaa huanza polepoole mwa... laki si pesa mnaanza kuugua uchizi
  4. D

    Hesabu hizi za CHADEMA sijui kama zitagawanyika au ni hesabu za kutazamia tu?

    huna taarifa ya uhakika huna haja ya kuleta uharo wako hapa wewe unaetumika kama toilet paper. kwa taarifa yako hai CCM haina candidate WA kupambana NA mbowe the same ARUSHA mjini hakuna kiraka atakae uhimili moto WA jembe LEMA
  5. D

    Mbowe kung'olewa Hai na mwenyekiti wa UVCCM Arusha Mjini

    tena we mlundugai ndio usiingee kule kwenu mboee kafamya makuba mlikua hata darasa hakuna sasa Kuna shule NA madaraxa mazuri mno
  6. D

    Lema: Shukrani Bank ya TIB Kutoa Bilioni 16 Kujenga Soko la Kisasa la Machinga Arusha

    nilikuwa nawaambia Kila Mara LEMA ni mbunge WA tofauti sanaa nikaona hamuamini ilaa naamini LEMA ni mbunge bora zaidi Africa mashariki NA kati NA amekua mbunge ambae amefanya vizuri zaidi kipindi hiki cha 2010 hadi 2015 hii ni ukichukua kwa majimbo yote ya Tanzania barA amekua ni mbunge WA...
  7. D

    CHADEMA yaja na mkakati mzito kutumia Mabaraza maandalizi ya Uchaguzi

    NA bado mkianxa kustaajabu haya c tunaendelea kupiga kazi ... viva UKAWA
  8. D

    Kumradhi Mh. Lema, Mlango uloingilia tuliuacha wazi na sasa waweza toka tu

    ujajipotezea muda Ndugu yangu Arusha sisi ni Lema hatuta muacha kwani hakutuacha tangu Mwaka 2005 tumekuwa nae tutaendelea kuwa nae hatutamuacha hata ukipandikiza chuki miyoyoni mwetu sisi tumeshaamua tutakwenda nae. mpango wako umefeli
  9. D

    Rais umeruhusu Pinda, Mahanga na Masaburi kuhatarisha amani?

    jaribu kushirikisha ubongo ufikiriapo
  10. D

    BAWACHA wawasha moto Munduli

    picha tuma basi
  11. D

    Lema achinja mbuzi 25 nyumbani kwake kwa ajili ya sikukuu ya krismas!

    acha uongo Ndugu msalani huo ni unafiki WA kiwango cha juu sanaa
  12. D

    Mgambo wa Arusha wala Krismasi kwa kichapo

    yaani hao dawa yao ni bis bis ya mbavuni inazama mpaka ikute bandama ili wasizoee... Kuna mmoja kama mmasai katoboa masikio huyo ninahasira nae sana Kuna siku alinijibu hovyo sana huyo siku anapita kwenye 18 zangu yaani kisu cha takoni kitamuhusu pumbavu... yaani mijamaa ni mibishii... Sheria...
  13. D

    Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Mawazo ni mengi kwa kweli. Itafika siku tutaanza kujitoa muhanga tumalizane humu nchini. Hizi ndizo nyakati unaona aibu kuwa Mtanzania Unapomtoa kafara prof Tibaijuka aliyekutana na hela njiani na unamuacha aliyetengeneza dili mpaka hela ikatoka BOT hata ikaingia mtaani Prof Muongo ni kiini...
Back
Top Bottom