aisee ni aibu sana kwa utaratibu wa CCM arusha sijui kwingine ndo kampeni ndo zimeanza sasa hivi sijui anamuda wa kutuambia kilichopo kwenye ilani ya CCM na sijui atatumia muda gani its real crazy wanajamii
aisee ni aibu sana kwa utaratibu wa CCM arusha sijui kwingine ndo kampeni ndo zimeanza sasa hivi sijui anamuda wa kutuambia kilichopo kwenye ilani ya CCM na sijui atatumia muda gani its real crazy wanajamii
acha tu ni aibu sana ratiba za CCM azieleweki kama mweshimiwa amechoka nijambo lakuwaambia watu sio kuwaweka mpaka sasa na je nauliza kuhusu ratiba ya arusha mjini kw CCM ndo imekwisha maana hatujui hata ilani ya CCM?
jamani nipo uwanjani me nilikuwa naona tu kwenye tv campeni za CCM lakini hamna kitu mpaka watu wanaenda kukodishwa aisee je wanalipwa au wanapewa maji tu na biskuti tujiangalie watanzania tubadilike tujue wapi tunakwenda bado dakika 8 campeni zikwishe sijui imekuwaje poleni CCM hayo ni yangu...
jamani ndugu zangu kuelekea ndoa ni pagumu sana na sijui sisi kama wanaume tunampango gani maana dada zetu wamekuwa kama pweza wanacheza karata katika ndoa tusaidiane wanaume kwa ushauri me sijaingia katika ndoa ila naona mambo yanavyofanyika kwa wenzangu na mimi pia nia hatari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.