Recent content by disheni

  1. disheni

    Ubaya wa Elimu ya Tanzania ni pale unapotafuta kazi

    "Ukitaka kujua ubaya wa Elimu ya Tanzania ukihitimu chuo mfano umesoma miaka 3 ukienda kuomba Ajira unaambiwa wanahitaji Mtu mwenye Experience ya miaka 5" Je miaka yako Mitatu uliyokuwa chuo ulikuwa unafanya nini?....... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom