Recent content by Director Chuma

  1. Director Chuma

    Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

    Ni mwaka (Masomo miezi 9) na ada ni Milion moja na laki moja kwa full course Tv & video video production lakini unaweza kulipa kwa awamu au unaweza kusoma course ya miezi mitatu mitatu ikiwa miezi mitatu ya kwanza utalipia laki 5 na miez 3 inayofuata ni laki 3 na ya mwisho mitatu ni laki 3...
  2. Director Chuma

    Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

    Karibu sana, Unaweza pia kuweka kambi chuoni maana nafasi za malazi zipo na mahitaji yote muhimu
  3. Director Chuma

    Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

    Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
  4. Director Chuma

    Elimu ya bure ya video production

    Darasa bado linaendelea youtube kwa lugha ya Kiswahili nimepost kipindi kipya, Ingia YouTube andika Director Chuma utanipata Karibu utumie vema fursa hii ya kupata au kuongeza ujuzi bure kwa kusubscribe na kucoment utakachopenda baada ya kutazama kipindi Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Director Chuma

    Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

    Ahsante sana kaka[emoji1488] Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Director Chuma

    Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

    Unaweza kuangalia my latest project Merry Christmas by Walter Chilambo Nimedirect, shoot, edit pamoja na final post na kuandika script Nafikiri unaweza pata picha uwezo wangu kupitia hiyo Na kwa uapende wa movie tafuta YouTube movie yangu ya mwsho kushiriki inaitwa MTALI CHUMA ambayo iliwania...
  7. Director Chuma

    Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

    Ahsante sana [emoji1488] Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Director Chuma

    Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

    Karibu sana Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Director Chuma

    Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

    Karibu sana Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Director Chuma

    Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

    Yeah... Ahsante sana Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Director Chuma

    Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

    Hapana mimi ni Director Chuma Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom