Recent content by Dira Yetu

  1. Dira Yetu

    SoC03 Biashara za Wafanyakazi wa Umma zinaleta Migongano ya Kimasilahi na Upendeleo

    Habari Mkuu, Aisee, hongera kwa andiko lako makini lenye tija kwenye jamii. Kura yangu umepata. Naomba kura yako kwenye andiko langu linaloonyesha mikakati ya kufanya kutatua changamoto zilizoorodheshwa kwenye ripoti ya CAG. SoC03 - Tujibu Ripoti ya C.A.G
  2. Dira Yetu

    SoC03 Makosa yetu ndio maradhi yetu, Afya ni mtaji

    Habari Kenge 01 Hongera kwa andiko zuri. Kura yangu umepata. Naomba kura yako kwenye andiko langu lonalojibu hoja za ripoti ya CAG. Ahsante.
  3. Dira Yetu

    SoC03 Tujibu Ripoti ya C.A.G

    Ripoti ya mwaka ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/22, ilibainisha mapungufu mbalimbali katika nyanja tofauti za uendeshaji wa Serikali. Hii ni ishara tosha kuwa, kuna haja ya kutafuta njia mbadala na makini za kutatua changamoto hizo ili...
Back
Top Bottom