Recent content by Dir Sibanda monk

  1. D

    JamiiForums Tanzania Children Hope Organization position for organization management team

    send your details to children_hope@yahoo.com
  2. D

    JamiiForums Tanzania Children Hope Organization position for organization management team

    Niambie kikundi Gani kilichosajiliwa kihalali na government under NacoNGO, kinaweza toa nafasi za kujiunga na management kuu ya organization free ukilipata Hilo shirika nambie. Sijatangaza kazi ila kama ulisoma vizuri Kwa upana wako utaona mahitaji members wakutusaport katika bodi ya Wakurugenzi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Inaonyesha kuwa simba Hawa wapo zoo na hakuna majike, je kama ni test ya zile dawa za kuleta hamu Kwa wanaume kusarandiana utaaminije Kwa clip ya video ambapo simba Hawa ni wakufugwa kabisa unaonyesha. Tunataka tudhihirisha pori halisi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Nakumbuka Mzee wangu katika ukuaji wangu alikuwa ananizuia kunywa maji huku nakula kuwa italeta kisukari sikuwa na uhakika ila ilikuwa fact sana kwangu katika digestion system
  5. D

    JamiiForums Tanzania Children Hope Organization position for organization management team

    Children Hope Organization ni shirika lisilo la kiserikali, limeundwa na bodi ya Wakurugenzi 5 wenye Nia ya kulisaidia Taifa katika kuleta maendeleo katika jamii kupitia ufadhili wa mtoto, hivyo bodi ya Wakurugenzi inaomba raia watakaowiwa kufanya kazi nasi katika kuleta maendeleo katika jamii...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Orodha ya NGO's zenye mishahara minono hapa nchini

    Uhakika, sio Kila soda ya kopo ni ya kunywa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Kwanza ni kujua kisukari kinaletwa na nini nipo jibu linapatikana
Back
Top Bottom