Kuna msemo wa Kiswahili usemao: "mali bila daftari, hupotea bila habari." Mfanyabiashara makini hufahamu hili na ndio maana haachi kutunza kumbukumbu za biashara yake.
Utunzaji wa taarifa za mauzo, manunuzi, matumizi, na stoku ni muhimu kwa ukuaji wa biashara, kwani itakusaidia kufahamu...
Chief shukurani sana kwa ideas nzuri . It takes an optimistic mind to see the glass is half full and not half empty! Hakuna anayekosea hapo kati ya anayeona glass ya maji ipo nusu kujaa na anayeona ipo nusu kuwa tupu ila namna ya kuona ni tofauti(mtazamo)! .Na mtazamo ndicho kinachoathiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.