Waziri wa TAMISEMI atakuwa Dr Hamis Kigwangalla, huyu kwenye Bunge lililopita alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya TAMISEMI, aliimudu vizuri na changamoto na fursa za pale anazijua. Atawakimbiza sana maDED kupita maelezo
Rais amteue Dr. Hamis Kigwangalla kuwa Waziri wake wa TAMISEMI ili amsaidie kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Wakati Dr Kigwangalla anahutubia bungeni kumuunga mkono Rais kwa kumteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wake, na akiwashawishi watu wamchague kwa kura nyingi alisema kuwa Kassim...
Rais hawezi kutaka waziri mkuu awe mtu wa aina yake.
Utawala wa Dr Magufuli utafanana sana na ule wa Mzee Mkapa. Hivyo kwenye uwaziri mkuu hao wote wanaotajwa hawamo. Yupo mtu humble asiyependa makuu wala asiye na maambitions ya kuwa Rais kama akina Makamba, Mwigulu na Kigwangala.
Mkuu OgwaluMapesa,
Naona umekuja na kazi maalum ya kummaliza Dr. Kigwangala tu wala haukuwa na lengo lolote lile la kufanya uchambuzi. Ungekuwa unachambua, kwa vyovyote vile ungeweka mizania sawa kwa maana ya kusema mazuri na mabovu ya kila uliyemchambua. Kwa kuwa utaendelea na wengine, basi...
1. Waziri Mkuu wa Tanzania: Mmoja kati ya vijana hawa - Mwigulu Nchemba au Dr Hamis Kigwangalla ataweza kwenda na kasi ya Dr John Pombe Magufuli
2. Ofisi ya Rais (Mambo yote): William Lukuvi
3. Ofisi ya M/Rais (Mambo yote): Saada Mkuya
4. Ofisi ya W/Mkuu - TAMISEMI: Dr Hamis Kigwangalla (Kama...
kama hoja ni upya, ujana, usomi, kuendana na Tanzania ya Magufulu na kuijua TAMISEMI, basi Dr Hamisi Kigwangala anafaa sana kutazamwa kwa nafasi ya uwaziri mkuu...
amekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya TAMISEMI, ni kijana mpya kwenye uongozi, amefanya kazi nzuri akiwa mbunge na mwenyekiti wa kamati...
Katika ma-super star wanaong'aa kwenye siasa za bongo za miaka hii, yaani hapa nawazungumzia viongozi vijana wanaochipukia kwa kasi sana - akina Mwigulu Nchemba, Dr Hamisi Kigwangala na Januari Makamba, mimi ni mshabiki sana wa Mwigulu na Dr Kigwangala, kwa sababu nyepesi sana, hawa ni watoto wa...
Hawa vjana bado junior sana, nadhani wote wanahitaji muda wa kukua kwenye utumishi wa umma kabla hawajafikiriwa kupewa majukumu makubwa ya kuongoza nchi. wameonesha umahiri wao kweli kwenye bunge lililopita na hata ujasiri wao na tamaa ya kutaka kukiwakilisha kizazi chao cha viongozi kwenye...
Ni ngumu kuamini kama JK atakubali EL agombee Urais na actually awe Rais kiulaini namna hii. Hili ni hitimisho la watu wengi hapa Dodoma kutokana na uamuzi wa jana wa kikao cha KK ya CCM kuimaliza adhabu ya wanachama 6 wa CCM waliopewa onyo kwa kuanza kampeni za Urais kabla ya muda. Kwa vyovyote...
Nitaendelea kuwaletea habari kemkem kutoka kwenye kambi za wanasiasa hawa wawili vijana wanaowania urais. Bahati nzuri, bila wao kujua, mimi niko kote kote...napata taarifa za ndani kutoka kwenye makundi ya wapambe wao kwenye mtandao wa whatsap. Hivi ninavyoongea hapa tayari wapambe wa Dk...
Baada ya mjadala mkali jana kwenye mtandao wa twitter, leo dada yake na Januari amemrukia Dr Kigwangalla na kumuita 'irrelevant'. Dada huyu, ambaye aliwahi kuripotiwa kumtafuti Januari dola milioni mbili kwa ajili ya kampeni, alionekana mkali, mwenye hasira kali sana dhidi ya mpinzani mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.