Recent content by Digxam-TZ

  1. Digxam-TZ

    Orodha ya makampuni legit yanayota huduma za online business

    Sisi tuna facilitate online business " Sell and buy" pamoja na huduma mbalimbali kama: Minada ya online ndani na nje ya nchi. Kusafirisha Magari kutoka Africa Kusini kwenda nchi mbalimbali. Magari na Spare za used Japan. Matangazo ya biashara. Vifaa vya uvuvi. Ukijisajili kwenye website...
  2. Digxam-TZ

    Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

    Mitsubishi Canter (Tipper) #Engine: Huja na injini za Diesel , mara nyingi zikiwa ni 4D33, 4D34 4D35 au nyingine kulingana na mwaka na toleo. Ina uwezo kati ya lita 3.0 hadi 4.9 (kutegemea toleo), mara nyingi turbocharged. Injini zake ni za kuaminika na zina uwezo mzuri wa kubeba mizigo...
  3. Digxam-TZ

    Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

    Update: Huu ni utaratibu mpya kuanzia 2024 tumeunganisha wauzaji wote wa spare parts kwenye planform moja. #HABARI NJEMA Kama unahitaji spare za Fuso, Canter, Magari Madogo, Spare za kukata used au spare mpya au kuagiza Canter,Fuso au Gari lolote kwa jumla au moja ,utaratibu wetu uko hivi...
  4. Digxam-TZ

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu naomba unitag huo uzi ndio nausikia leo. Mimi na office Japan Tanzanzia SouthAfrica Johannesburg na Capetown Dubai, promo nafanya ndio maana niko na wewe hapo,sababu ya kukuambia hivyo naona unafanya promo za makampuni mengine ndio maana na mmi nikaomba uniweke kwenye list ya haya...
  5. Digxam-TZ

    Bidhaa nyingi za Kikuu ni feki, huyu kauziwa mkebe akijua ni simu!

    Je umewai kuagiza bidhaa mtandaoni ukaletewa bidhaa zenye ubora afifu?kupitia kwenye minada yetu ya kilasiku utapata bidhaa zenye ubora moja kwa moja kutoka Japan,maelezo zaidi whatspp +818020717421
  6. Digxam-TZ

    Nahitaji Digital Camera mpya

    Ningumu sana iwezi kuwa imefika.
  7. Digxam-TZ

    Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Labda kama sio developing Country,uwezi kujua biashara ambayo ujawai fanya.
  8. Digxam-TZ

    Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Ziko nyingi,nfano mashine ya kupandisha zege hadi Grofa ya 17 kwakukodisha.
  9. Digxam-TZ

    Iphone 15 original

    Nicheki tuyajenge,Apple iPhone15 128GB black SIM free ,Orginal Japan,whatspp +81 80-2071-7421
  10. Digxam-TZ

    Nahitaji Digital Camera mpya

    Utapata boss lakini kwakuagiza,niko Japan.
  11. Digxam-TZ

    INAUZWA Lowbed trail 4 exl used linauzwa

    SPECIFICATIONS MODEL SCCDB - 148SS STLBC0 - 1612SS OVERALL LENGTH 12355 mm 16540 mm OVERALL WIDTH 2600 mm + 300 mm + 300 mm 2600 mm + 300 mm + 300 mm OVERALL HEIGHT 1217 mm 1217 mm TARE WEIGHT 10 800 Kg 11 500 Kg MAXIMUM CAPACITY 80 000 Kg 80 000 Kg PAYLOAD* 28 000 Kg 28 000 Kg...
  12. Digxam-TZ

    INAUZWA Lowbed trail 4 exl used linauzwa

    Hili ni Trailer la mtumba kwajili ya kubeba mizigo ya Abnormal,ukubwa wa exle 4, liko Johannesburg South Africa, bei yake ya manunuzi pamoja na ushuru usafiri ni 160ml Tsh, wasiliana na kwa njia ya whatspp +27 71 821 9244
  13. Digxam-TZ

    Nahitaji laptop

    Unauza au unatakaka
Back
Top Bottom