Recent content by DigitalPointtz

  1. DigitalPointtz

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mfumo wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kushindwa kutatuliwa takriban wiki 3 sasa

    Ni vyema ukaweka hapa ili ili watu wajue solution iliyopatikana ni ipi
  2. DigitalPointtz

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    😁😁😁😁 huo muda wa police kufanya hivyo umeisha, na ukishaona hawa wameingilia jambo ujue kazi ipo. Uzuri walitoa tangazo na siku za kufata maelkezo. Kama ulikaza shingo acha livunjike sasa. Vaa wakukute ili ujue wanaweza kukamata au watakwambia usubiri police waje kukukamata 🤣🤣🤣🤣
  3. DigitalPointtz

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mfumo wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kushindwa kutatuliwa takriban wiki 3 sasa

    Ujumbe kutoka kwa kati ya mwanafunzi aliyehitimu na kuomba kupaziwa sauti. "Mimi ni muhitimu wa stashahada ya computer science chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeyaa Kumekuwa na tatizo la mfumo yaani SIMS (student information management system) kwa muda wa takribani wiki 3 mpaka sasa...
  4. DigitalPointtz

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Naona wafanye tu maana walitoa onyo na walitoa siku za kurudisha, kama mtu alikaza shingo basi acha livunjike kwa sasa. Sheria ya ulinzi wa taifa imeeleza hapo sio kwamba wamejitunzia, sasa acha sheria ifate mkondo wake.
Back
Top Bottom