Recent content by DIGE

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

    Naamini hata wa HKL ulikaa darasani ukasoma lengo langu ni kwa yule ambae anaweza akajifunza anaweza akapunguza gharama za kuita mafundi kwakuwa kuna vitu vichache unaweza fanya bila fundi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

    Ukipitia vizuti nimeeleza kila kitu unaweza pata itategemea na receiver unayo tumia pamoja na uelekeo wa dish jaribu kurudia juu nimeweka sawa yote
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

    Shukrani sana mkuu ni kutoa hata kama kidogo unacho kwa faida ya wengi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

    Pamoja sana tunajulishana hata kidogo tukicho nacho
  5. D

    JamiiForums Tanzania Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    https://www.jamiiforums.com/threads/wale-wa-madish-ya-ku-band-na-c-band-pamoja-na-receiver-pitia-hapa.1578630/
  6. D

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya dish za kawaida zisizokuwa na malipo

    https://www.jamiiforums.com/threads/wale-wa-madish-ya-ku-band-na-c-band-pamoja-na-receiver-pitia-hapa.1578630/
  7. D

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani ukinunua hulipii tena vocha ya mwezi?

    https://www.jamiiforums.com/threads/wale-wa-madish-ya-ku-band-na-c-band-pamoja-na-receiver-pitia-hapa.1578630/
  8. D

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    https://www.jamiiforums.com/threads/wale-wa-madish-ya-ku-band-na-c-band-pamoja-na-receiver-pitia-hapa.1578630/
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

    Inaendelea sehemu ya pili ya ufafanuzi LNB ya C Band inayotoa njia mbili (2 output LNB) Kwa kawaida mawimbi yanayotoka katika satelaiti yana masafa makubwa sana kiasi kwamba ni shida kupita katika waya ( kadri masafa yanavyoongezeka ndivyo inavyozidi kuwa rahisi kwa mawimbi kupotea katika waya)...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

    MAWASILIANO YA SATELAITI Satelaiti ni nini? Ni mwezi (moon), sayari (planet) au mashine inayozunguka sayari au nyota. Satelaiti ya kwanza kutengenezwa na binadamu, kupelekwa angani na kuwekwa katika obiti kuzunguka dunia iliitwa SPUTNIK 1. Ilitengenezwa na Urusi na kupelekwa angani tarehe 4...
Back
Top Bottom