Recent content by DIGARAH Madman

  1. DIGARAH Madman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    Wewe dada unafaa kuwa kungwi la gen Z
  2. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Utajua namna ya kupata kitu chochote kutoka Kwa mwanaume Sa sijui unataka kupata Nini😂 Ukimaliza hicho usome ni "women's bible"
  3. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Mimi ni Me Ila nilikisoma. Nilikisoma 2020 Ingia google utakipata, Kwa hakika utafurahia na utakuwa unapata pesa kirahisi sana Mm kilinifunza kupata Ke ninayetaka Kwa kufuata kanuni maalum😂😂😂
  4. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Mfadhili Vuta Nkuvute Hivi vitabu ni mwisho wa reli
  5. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Hicho kitabu ni Niko😂
  6. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Lodge za Msamvu Morogoro zimejaa kunguni balaa

    Moro ni pabaya
  7. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kuwa na Pesa nyingi kwenye account ya Benki ikiwa ndugu zako ni hohehae?

    Pesa nyingi inapimwa kwenye kiwango Cha pesa ya ziada (Disposable income)
  8. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kuwa na Pesa nyingi kwenye account ya Benki ikiwa ndugu zako ni hohehae?

    K Nadhani hilo ni la msingi pia
  9. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kuwa na Pesa nyingi kwenye account ya Benki ikiwa ndugu zako ni hohehae?

    Ahsante sana Kwa mawazo mazuri
  10. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kuwa na Pesa nyingi kwenye account ya Benki ikiwa ndugu zako ni hohehae?

    Maoni yangu sio ya muhimu sana though Ninaamini katika kuwa na kiasi
  11. DIGARAH Madman

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kuwa na Pesa nyingi kwenye account ya Benki ikiwa ndugu zako ni hohehae?

    Interms of actual location. Hajulikani halipo
Back
Top Bottom