Recent content by Dieufem

  1. Dieufem

    Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

    Le Mutuz sikutarajia kuwa utakuwa na uelewa finyu kiasi hicho; alichosema jaji Warioba, ni watu wajadili rasimu iliyotolewa na tume na si wajumbe wake! Sasa kwa uelewa wako; ni bunge lipi la katiba lililojadili rasimu na ilitolewa na tume ipi? Hivi mpaka leo huwezi kutofautisha kati ya rasimu ya...
  2. Dieufem

    Hussein Bashe azidi kupigilia msumari wa ncha 20 kwenye jeneza la CCM...

    Kaka nakuunga mkono nami kama mwana Tabora. Ningependa nipate contact zako. Unaweza junior PM
  3. Dieufem

    Zitto Kabwe kuwasha moto wa kufa mtu Tabora mjini

    Nikiwa mmoja wa wanatabora, mzaliwa wa Mtawa wa Market kata ya Gongoni, na ambaye pia nilisoma Town School PR, na ambaye kwa sasa nipo Dar kwa utafutaji, naamini uzinduzi Huo utaizika rasmi CCM Tabora na utavunja record za kanda Zorro zilizokwisha zinduliwa. Niwatake wakazi wote wa mji wa Tabora...
  4. Dieufem

    Natafuta Engeneer kwa ajili ya Ujenzi

    Ok unaweza kuwasiliana engineer huyu; JUMA KAMBAJECK, kampuni yake ni class five both Building & Civil. Emai: jkambajeck@gmail.com, simu :+255713508100
  5. Dieufem

    CHADEMA yaishika pabaya CCM Kinondoni

    Kamati nzima ya utendaji na imeundwa Task Force
  6. Dieufem

    CHADEMA yaishika pabaya CCM Kinondoni

    Habari Taifa stars, CHADEMA imeishika pabaya CCM kupitia operetion yake safisha Kinondoni baada ya mkutano mkuu wa jimbo, mbele ya katibu mkuu ndg Dr. Slaa kuuondoa uongozi wa awali na k uweka kikosi cha mauaji kwa CCM. Viva CHADEMA, Viva M4C
Back
Top Bottom