Chutama kubali umechochora.
Kamwe kocha hawezi kucheza kama hajasajiliwa katika orodha ya wachezaji kwenye shirikisho. Husika. Ni kweli Gianluca Viali alikuwa kocha na kucheza Chelsea lakini alikuwa amesajiliwa kama kocha na mchezaji pia. Hapa Tanzania Simba waliwahi kuwa na Hassan Afif...
Baraka Mpenja, Mwamba wa Umalila Fahari ya Itete, Huyu ni Simba lialia na kuna kipindi alisimamishwa kutangaza mpira na Azam baada ya kutangaza goli la Kagera Sugar walilowafunga Simba kinyonge kama vile hajafurahishwa watu walilalamika kwamba alionyesha mapenzi ya dhahiri rejea goli hilo siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.