Nashukuru ndugu yangu kwa taarifa maana kukaa kimya hv mtu unashindwa kuelewa hope watatuita kweli by nxtweek kitaa kinachosha jaman though post hii ya kaz watu wanaiponda sana lakin mm bora kazi bwana
jaman kwa tulioambiwa tupeleke vyeti na vtu pale barclays then tusubir kuitwa vipi mbn kimya...mwenye news yoyote tujulishane..
VP kaka wameshakuatafuta hawa watu?
yan ww acha tu ndugu yangu sijui kuna nn huko maana mm mwenyewe kuna ndugu yangu alipeleka akaambiwa watampigia mpk leo kimya sijui kuna nn kitaa kigumu jaman
mm nilifanya siku ya j3 interview sikumbuki trh vzr but 2 weeks zimepita ni nilipeleka passport na barua siku ya j5 yake mmh tusubiri tu watatupigia ww ulifanya siku gani kwani?
Jaman naomba kuuliza wale tuliopata Barclays bank tukaambiwa tutapigiwa simu siku ya kuanza kazi vp kuna mtu ameshapigiwa teyari? au mwenye taarifa yeyoto plz inform
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.