Recent content by Didas Frimin

  1. Didas Frimin

    KERO Mfumo wa kuomba mikopo bodi ya mikopo una changamoto

    Kuna changamoto ya taarifa zinazotoka RITA baada ya uhakiki zinakuwa hazileti majina yote kwenye mfumo wa bodi ya Mkopo HESLB. Ukifika kwenye Demographic info huwezi kuendelea mbele, hii changamoto nimeshakutana nayo kwa zaidi ya watu watatu. Mwenye Solution tafadhali
  2. Didas Frimin

    KERO Mfumo wa OLAMS unagoma

    Tarehe 15/02/2025 mfumo wao ulikuwa haufunguki kabisaa, watu wengi sana walishondwa kusubmit application zao, HESLB waliangalie hili
Back
Top Bottom