Recent content by dicrayh

  1. D

    Zitto Kabwe: Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge

    Kulisaidia nini Jimbo lake la Kigoma Kaskazini?
  2. D

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Mbunge wa Kawe Halima Mdee amekanusha taarifa za Uzushi kwamba ana mpango wa kujiunga ACT na kusema yeye ni Chadema damu damu. Vilevile Shibuda nae amekanusha taarifa za Uzushi kwamba anataka kuhamia ACT na kusema ni Uzushi, hana mpango huo. Matamko hayo yametolewa Bungeni katika kipindi cha...
  3. D

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Shibuda amekanusha taarifa za Uzushi kwamba anataka kuhamia ACT. Kasema taarifa hizo ni za uongo KAIJAGE
  4. D

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    SHERIA YA MIAMALA YA KIELOTRONIKI MAKOSA YA KIMTANDAO Wadau Hii sheria nzuri kama itakuwa ni kwa Maslahi ya Taifa na sio kwa Maslahi ya Kisiasa. Serikali yangu sikivu, naomba ianze kuwashughulikia haraka sana hao wahalifu bila ubaguzi, na kwa maoni yangu, waanze na yule aliyesambaza...
  5. D

    Nimejaribu lakini nimeshindwa

    Akaunti yng ya Facebook imekuwa Disabled. Ina maana siwezi kufungua mpaka nifuate maelekezo yao ya Security Identification. Nikifika sehemu ya kutambua picha na jina lake huyo mtu, nashindwa kwasababu marafiki wengi siwakumbuki. Ni wale uki-Post kitu kizuri, wana - request. Nisaidieni nifanyeje?
Back
Top Bottom