Recent content by dickson gosbert

  1. dickson gosbert

    Leo nawasogezea hii hapa

    Kama umeajiliwa au umejiajiri fanya haya Tunza asilimia kadhaa za mshahara wako. Cut off chai ya asubuh kwa mama ntilie. Jion wai nyumbani upike Pesa hapo utaweza tunza then jifunze biashara yyte iliyopo kwenye mazingira yanayokuzunguka au biashara ya Boss wako apo anza taratbu the same...
  2. dickson gosbert

    Ubahili wenye tija

    Kama ubahiri ukifanywa kwa tija basi matokeo yake yatakuwa chanya na yenye manufaa. Hatua kumi [10] za kutumia ubahili positively; 1. Chemsha maji ya kunywa nyumbani. 2. Usinywe soda, nunua blender tengeneza juisi yako mwenyewe, afya na pesa zako utasave za kunywa soda ovyo ovyo. 3. Usinunue...
  3. dickson gosbert

    Power of habit

    Kwanza kabisa kuna tabia nzuri na mbaya Tabia nzuri nzuri matokeo yake ni sasa na tabia mbaya matokeo yake ni baadae kwa mfano kama unavuta sigara au ni mlevi kupindukia matokeo yake utayapa baadae kama figo au ini kufeli Ushauri wangu kwa vijana tufanye tabia nzuri Na nidhamu kwenye kutunza...
Back
Top Bottom