Naomba niwasilishe kero yangu inayonisumbua nikiwa pamoja na wenzangu tupate ufumbuzi.
Tunaomba kujua ni lini chuo cha Western Tanganyika kilichopo kigoma itawapa wanafunzi wake waliohitimu chuo September 2022 kozi ya pharmacy ngazi ya cheti maana waliwaambia wakae vyeti vitatoka na hadi...
Vyeti vishatoka ila kuna baadhi ya vyou wanawanyima wahitimu wao vyeti haswa, wale ambao wameishia Astashahada kutokana na changamoto mbalimbali huku wakilazimishwa, kumalizia Stashahada huku hawana huwezo wa kulipa ada chuo kikidai hawatoi vyeti na NACTEVET Wanatoa hivyo vyeti na vimakua chuoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.