Recent content by dicaprio

  1. D

    Kwaheri upinzani Tanzania

    Wewe unasoma sehemu chache sana za habari za dunia. Ungesoma mambo aliyoandika Donald Trump kuhusu viongozi wa Afrika , wafanyavyo na mitizamo yao, na haja ya kuurejesha ukoloni Afrika kwa miaka 100 mingine , hungeandika kama hivi.
  2. D

    Adam Malima - Kiongozi kijana aliyetoweka akiwa bado anahitajika

    Hiyo issue ya Morogoro ni cha mtoto, hakuna uthibitisho wowote, acheni kumwonea baba wa watu
  3. D

    Wanaccm waanza kumchukia Magufuli, wadai asijidanganye alishinda kwa nguvu zake binafsi

    Bwana Magufuli, endelea na kazi, maeneo yote yenye watu wasiojiweza, au wenye Elimu ndogo piga chini. Na sisi tutakusaidia:lock1:
  4. D

    Tumeaminiwa Siha na tumeongoza halimashauri. CCM tumeipoteza

    Msalimieni mh. Mwandry, ajipime tena 2020, a luta ...........:lock1:
  5. D

    Usambazaji wa umeme isiokuwa makini katika eneo la Makuyuni- Msufini mji mdogo wa Himoi

    Meneja wa TANESCO eneo la Himo, ni lini atapeleka umeme katika eneo la Makuyuni-Msufini. eneo hili kwa upande wa kusini kuna umeme umeishia kwenye nyumba ya mtumishi wa TANESCO na kuna mpango wa kuweka umeme eneo la Barabara ya mwika na hoteli ya Shayo advocate. Kwa maana hiyo, eneo la Morrum...
  6. D

    Wafanyakazi wa TRA Geti no. 5 waswekwa ndani mchana huu

    Amtume Waziri Mkuu aangalie usambazaji wa umeme Vunjo, unafanywa kwa utashi wa watumishi wa Tanesco, na kupatiwa huduma ya umeme sharti ujizatiti kweli kweli.
  7. D

    Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

    Hata BIBLIA inakataza kujilimbikizia mali, acha serikali ya JPM
  8. D

    Hakuna kurejewa uchaguzi Zanzibar!

    Ya Zenj tuwaachie Zenj, Amin
  9. D

    Wizara zinazofutwa hadharani

    Baraza dogo la watu wenye elimu, utashi na weledi litamsaidia president kuleta maendeleo ya haraka yaliyokwamishwa kwa kuteuliwa watu wasio na ubunifu katika utendaji. Ubarikiwe Rais JPM
  10. D

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Bila shaka hii itawasumbua sana wale wanaotegemea sherehe na buffet
  11. D

    Kikwete abariki kura ya wazi

    Kura ya siri mbona ndiyo ustaarabu jameni, Tuelimike, tutekeleze.
  12. D

    Mizengo Pinda: Mawaziri wazembe kufukuzwa kazi

    Siyo rahisi hivyo
  13. D

    WAKENYA wanaweza kuchagua "MATATIZO" Kwa Jina la Ukabila

    Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Hatma ya Kenya ipo mikononi mwao, sisi tujipange na ya kwetu. Kwani TZ hakuna ukabila, nani kakwambia
  14. D

    Hisia za wananchi wa Jimbo la Arusha (M), muda mfupi baada ya Lema kushinda rufaa

    Watanzania msijiingize kwenye ujinga, haki haiwezi kupotea na sasa haki imetendeka. Ponteos Pilato alimwuliza Yesu Kristo kuhusu ukweli, BWANA YESU akamjibu kwamba amekuja kuidhihirisha hiyo kweli na YEYE ndiye hiyo kweli. Sasa kama Pilato hakuelewa ni shauri yake. Praise to GOD the Almighty!
  15. D

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Jamani hata mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu mnaandamana, leteni hoja zenye mashiko. Go to college and read about Causality, that is the relationship between CAUSE AND EFFECT.
Back
Top Bottom