Wakuu naomba kujua hii defense of alibi nilazma iwe kwenye maandishi au naweza kumwambia tu hakimu kuwa nakusudia kuitumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama nikiuliza ni kitu gan kilimnusuru nisitekeleze azma ya kumkata ni sawa?? Pia nikimuuliza shahid kuwa alichukua hatua gan baada ya kuona haya yote nitakuwa sawa ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Mr Malyenge, umenipatia jibu zuri sana anbalo naweza kulitumia siku ya kesi. Pia naomba maswali zaid ninayoweza kuuliza siku hiyo. Pia nilipanga kuuliza mashahidi kama wananifahamu na ni kwa muda gani wananifahamu na wananifahamu kama nani, je niswali sahihi la kuuliza???
Sent using...
Nashukuru sana kwa wote walionipa msaada wa kisheria. Lakini pia naomba kujua je ni maswali gani ninayopaswa kuwauliza mashahidi watakaoletwa mahakamani ktk kesi hiyo????
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anadai nilimtishia kwa panga maeneo ya majengo wakati mimi skuwepo huko pia anasema ana mashahidi ila mimi tar anayotaja nilikuwa sipo haya maeneo nilikuwa mkoa mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada sheria zinasemaje kuhusu tiketi kutumika kama ushahidi mahakaman. nimeshtaki nimemtishia mtu kumuua wakati tarehe aliyotaja kwenye maelezo yake mimi skuwepo mkoa anaodai nilimtishia yeye anadai nilimtishia tarehe 18 mwezi wa saba na mimi nimefka tar 20 mwezi wa saba tiketi pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.