Recent content by Diapo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia maandiko ya Ansbert Ngurumo huko alikokwenda, nimesikitika sana

    Safi sana mkuu, baada ya hili andiko kiwanda kimoja kimefyatuka tutegemee ajira.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli imeamua kukopa sio kufadhiliwa!

    Pambana mwanangu teuzi zinaendelea km kawaida, CCM mbele Kwa mbele,
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua suala la mikopo kwa wanafunzi waliosoma shule binafsi

    Watanzania apambane ni na Hali zenu. Mlizaa wenyewe starehe zenu. Magu kaza wanyooshe hu hu hu Mtaisoma namba. Tumeipenda wenyewe ngwangwa , Chaguo letu wenyewe ngwangwa, wacha tuisome Namba eeeh , wajinga wale CCM mbele Kwa mbele eeeeeeeeeeeeeeeeeeee. CCM raha
  4. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua suala la mikopo kwa wanafunzi waliosoma shule binafsi

    Safi sana Naibu Waziri. Mitanzania ilikuwa inaimba itaisoma namba sijui ilikuwa haielewi? . Shikilia hapo hapo hadi Mitanzania ikome kuimba Bila kuelewa maana ya wimbo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Zitto na Ado Shaibu wa ACT Wazalendo, CHADEMA mjifunze, Zitto usirudie kujiegemeza CCM

    Zitto Kabwe unatimiza wajibu wako kwa kuibua hoja na kuchochea mijadala yenye afya kwa Taifa Bungeni na uraiani ( Kwa mitandao na matamko). Hali kadhalika Ado Shaibu unafanya vizuri. Kila CCM na mtukufu wao wanapofanya ndivyo sivyo mnacounteract kwa muda sahihi. Namuunga mkono Evaristi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

    Watanzania tutembee kifua mbele
  7. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

    Mwijage nampenda kufa, unajua unafiki mpaka kapitiliza. Anajua kula na kipofu. Mwijage komaa hapo uliposhika ng'ang'ania. Piga kazi
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuna mtu ana ugonjwa mbaya wa kutaka kusifiwa muda wote hata kwa mambo ambayo sio ya kweli

    wewe mwenyewe unamkubali unajua vitu na nafasi yako inakunya na kuishia kutamani kujua km yeye
  9. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa hashiriki kuimarisha Chama, Hana Uhalali wa Kunusa Pua yake Kugombea CHADEMA.

    Waswahili husema mtu huvuna alichopanda. Kwa mtazamo wangu mpaka Sasa Lowassa hajapanda chochote kuelekea uchaguzi wa 2020. Hapaswi kusogelea fomu ya kuomba Kugombea maana atakuwa anavuna walichopanda wengine. Ni mtazamo tu masela msijenge chuki.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hawafuatilii ipasavyo vikao vya Bunge la Bajeti vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

    Hatutaki Bunge live tunataka ugali mezani.. .. akili za Watanzania Huwa zinawaza hivyo hu hu hu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Asilimia kubwa ya Watanzania tuko wajinga, wacha maCCM yatuumize mpaka tuisome namba. Tena Mimi naapa namsaidia mama yangu mzazi, wengine sisaidii ng'o. Mitanzania mijinga sana
  12. D

    JamiiForums Tanzania TRA ni taasisi inayoyumba kama bendera!

    Umetumwa n umetumwa na mazungu ha ha ha CCM bhana
  13. D

    JamiiForums Tanzania Songwe: RC awaomba waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi warejee nchini wazungumze...

    Wakimbie wote tunataka viwanda CCM oyeeeeeeee viwonder oyeeeeeeee ha ha ha
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mavunde: Vyama vingi nchini vimesababisha kushuka kwa uzalendo kwa wananchi

    Msalimie mkulu kulu , mwambie akupandishe akupe uwaziri kamili angalau ufaidi zaidi mema ya nchi. Hawa wapinzani wameingiza nchi katika mikataba ya ajabu , siwapendi kabsa. CCM mbele Kwa mbele
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Chaguo letu wenyewe ngwangwa, tumeipenda wenyewe ngwangwa, wacha waisome namba eeeh wajinga waleeee CCM mbele Kwa mbeleeeee
Back
Top Bottom