Hongera Zitto na Ado Shaibu wa ACT Wazalendo, CHADEMA mjifunze, Zitto usirudie kujiegemeza CCM

Diapo

Member
Aug 30, 2013
44
37
Zitto Kabwe unatimiza wajibu wako kwa kuibua hoja na kuchochea mijadala yenye afya kwa Taifa Bungeni na uraiani ( Kwa mitandao na matamko). Hali kadhalika Ado Shaibu unafanya vizuri.

Kila CCM na mtukufu wao wanapofanya ndivyo sivyo mnacounteract kwa muda sahihi.

Namuunga mkono Evaristi Chahali kwa kusema ukweli kuwa mmekuwa Bora.

CHADEMA mnahitaji kuenda kwa mwendo huu hata wakati huu mnapomsubiri jemedari Lissu. CCM wanatakiwa kujibiwa promptly. Zitto umeonyesha njia.

Angalizo: Zitto CCM sio watu wazuri usirudie makosa ya kuchangamana nao.
 
Unamaanisha walioko chadema wooote ni vilaza wanamsubiri Lissu?
 
Zitto aliratibiwa na Rost-tamu, Jack Zioka,Dau na Mkwere na bahati mbaya sana aliaminishwa kuwa wapo tayari kumgaia support achukue uenyekiti baadala ya Mbowe na wangemuachia kiti kwani hawako tayari kwa Slaa na Mbowe. Akashiriki figisu za kitila,shoanza,nchange,mwiigamba,nsando etc.

Jiwe alivyoingia aliambatana nae mwanzo na hata ufunguzi wa bunge alibaki na kukenua kenua akihisi atamegewa kamati.

Tatizo lake ni mbinafsi na mpenda madaraka na pia opportunist mzuri tu plus mchanyato wa dini!! !

Otherwise akiacha undumi LA kuwili ni hazina kwa Taifa na awamu hii ndio yampasa atumie kusahihisha makosa yake ila weredi na wabobezi wanajua hadhaminiki!! !

Watanzania wengi wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau. Group la Zitto ambalo lilijipanga haswaa CDM ni Moses Machali, Kafulila kabla hhawajatibuana kidogo na alimpigania na kumwandaa achukue BAWICHA enzi zile, akakatwa kwa rushwa na Zitto akafura ndio akamuendorse NCCR.

Tuanze rasmi, Ana Mghwira, Kitila Mkumbo, Moses Machali, David Kafulila,Juliana Shonza,Samson Mwigamba, Albert Msando etc!!

Jiulize list yote hiyo leo iko wapi?! Jibu halihitaji four FIGURE-CCM.
swali, kwa nini yeye bado?!Nini kimewavuta wote hao ila sio yeye?!

Tuhitimishe na tafakuri chokonozi, Mrema kashazeeka, John Cheyo tayari, Shibuda anamalizia malizia,Lipumba hauziki kwenye miradi ya CCM, je wa kuja kugawa tena kura na kuvuruga upinzani haswa ni nani?! !
 
sasa kama karatibiwa whatever mbona anawaziid hao ambao wazalendo acha siasa taki hakuna msafi ukiangalia past apongezwe anachofanya chuki binafsi hazisaidii Zzk ni shujaa kwa sasa
 
Zito ukirudi kigoma andaa ekari za kulima mawese halafu tualike tuje Mi niandalie kama 2000, malizana na wananchi kabisa. After ten yrs kunaweza tusipate tena shida hii
 
Una akili ndogo kweli.....sijui ni athari za mwenge!!
Acha ujinga.
Mbona akina Mollel, dr. Slaa, mwkit wa vijana cdm, madiwani wote kule Arusha waliorudi ccm mbona huwataji.

Kuwa na akili yako siyo ya kufuata upepo.

Unafaham why CDM wamepata kashfa kwenye repoti ya CAG?
Unafaham kwa nini Mnyika huyu siye yule tunayemtambua?
Ulishawai jiuliza why CDM walibadili kipengere cha katiba 2006 kwenye muda wa mwkiti kuwa madarakani?

Yaani wapinzani wa aina yako hawana tofauti na ccm.

Sina shaka siasa yako uliipata kwenye nyumba za ibada.

Zitto aliratibiwa na Rost-tamu, Jack Zioka,Dau na Mkwere na bahati mbaya sana aliaminishwa kuwa wapo tayari kumgaia support achukue uenyekiti baadala ya Mbowe na wangemuachia kiti kwani hawako tayari kwa Slaa na Mbowe. Akashiriki figisu za kitila,shoanza,nchange,mwiigamba,nsando etc.

Jiwe alivyoingia aliambatana nae mwanzo na hata ufunguzi wa bunge alibaki na kukenua kenua akihisi atamegewa kamati.

Tatizo lake ni mbinafsi na mpenda madaraka na pia opportunist mzuri tu plus mchanyato wa dini!! !

Otherwise akiacha undumi LA kuwili ni hazina kwa Taifa na awamu hii ndio yampasa atumie kusahihisha makosa yake ila weredi na wabobezi wanajua hadhaminiki!! !

Watanzania wengi wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau. Group la Zitto ambalo lilijipanga haswaa CDM ni Moses Machali, Kafulila kabla hhawajatibuana kidogo na alimpigania na kumwandaa achukue BAWICHA enzi zile, akakatwa kwa rushwa na Zitto akafura ndio akamuendorse NCCR.

Tuanze rasmi, Ana Mghwira, Kitila Mkumbo, Moses Machali, David Kafulila,Juliana Shonza,Samson Mwigamba, Albert Msando etc!!

Jiulize list yote hiyo leo iko wapi?! Jibu halihitaji four FIGURE-CCM.
swali, kwa nini yeye bado?!Nini kimewavuta wote hao ila sio yeye?!

Tuhitimishe na tafakuri chokonozi, Mrema kashazeeka, John Cheyo tayari, Shibuda anamalizia malizia,Lipumba hauziki kwenye miradi ya CCM, je wa kuja kugawa tena kura na kuvuruga upinzani haswa ni nani?! !
 
Exactly.
Tatizo kuna watu wanamchukia Zitto simply coz haelewani na Mbowe!

sasa kama karatibiwa whatever mbona anawaziid hao ambao wazalendo acha siasa taki hakuna msafi ukiangalia past apongezwe anachofanya chuki binafsi hazisaidii Zzk ni shujaa kwa sasa
 
Tupende tusipende hata sisi wana CCM , tunafurahishwa na mchango wa Zitto, kwa huyu kijana ni Nationalist na mwenye uchungu na nchi yake na wananchi wake.

Ila I WARN HIM , asijisahau na akafikiria Mbowe na Akina Lema ni marafiki na wanaweza kuwa na msimamo mmoja ama wakuribiana kisiasa. Mbowe amemsogelea Zitto baada ya kujiona amekosea kubadilisha Gia Angani, na siasa za chadema inafeli sana kusimamia Agenda zao za awali. Mbowe atamtumia Zittona ACt na kuwamwaga kama kaa la moto, afikiapo matakwa yake.

And usually Zitto is too naive and uncalculating , siasa hazitumii TUNGURI.
 
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.

Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.

Urefu wa kiwanja ni mita 37
Upana wa kiwanja ni mita 23

Bei 19M.

PM kwa serious buyers
Karibuni

View attachment 776262View attachment 776263
Hivi wewe watafuta bwana? Jukwaa LA matangazo hulioni? Au nawashwa washwa
 
Zitto ni muhuni tu fulani hivi mwenye upeo wa kibwege katika masuala ya nchi hii. Juzi alisema mbaazi kilo ni. Tsh 150 wakati kiuhalisia ni Tsh 2200 na kuendelea. Ni upukbavu na ujuha kujipatia umaarufu kwa kuisemea vibaya nchi yako.
 
Zitto aliratibiwa na Rost-tamu, Jack Zioka,Dau na Mkwere na bahati mbaya sana aliaminishwa kuwa wapo tayari kumgaia support achukue uenyekiti baadala ya Mbowe na wangemuachia kiti kwani hawako tayari kwa Slaa na Mbowe. Akashiriki figisu za kitila,shoanza,nchange,mwiigamba,nsando etc.

Jiwe alivyoingia aliambatana nae mwanzo na hata ufunguzi wa bunge alibaki na kukenua kenua akihisi atamegewa kamati.

Tatizo lake ni mbinafsi na mpenda madaraka na pia opportunist mzuri tu plus mchanyato wa dini!! !

Otherwise akiacha undumi LA kuwili ni hazina kwa Taifa na awamu hii ndio yampasa atumie kusahihisha makosa yake ila weredi na wabobezi wanajua hadhaminiki!! !

Watanzania wengi wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau. Group la Zitto ambalo lilijipanga haswaa CDM ni Moses Machali, Kafulila kabla hhawajatibuana kidogo na alimpigania na kumwandaa achukue BAWICHA enzi zile, akakatwa kwa rushwa na Zitto akafura ndio akamuendorse NCCR.

Tuanze rasmi, Ana Mghwira, Kitila Mkumbo, Moses Machali, David Kafulila,Juliana Shonza,Samson Mwigamba, Albert Msando etc!!

Jiulize list yote hiyo leo iko wapi?! Jibu halihitaji four FIGURE-CCM.
swali, kwa nini yeye bado?!Nini kimewavuta wote hao ila sio yeye?!

Tuhitimishe na tafakuri chokonozi, Mrema kashazeeka, John Cheyo tayari, Shibuda anamalizia malizia,Lipumba hauziki kwenye miradi ya CCM, je wa kuja kugawa tena kura na kuvuruga upinzani haswa ni nani?! !
Mkuu nakubaliana nawe, Zitto ni mzuri wa kujenga hoja na kuisimamia ila si mtu wa kumuamini sana kwani akipata anachokitaka ni rahisi kuwasaliti wenzake na ndio hulka ya wanasiasa wengi tulionao hapa kwetu. Hata hao kina Lissu sio wa kuwaamini sana tukikumbuka kilichotokea 2015.
Tanzania tunahitaji katiba bora na ndio tunachotakiwa kukipigania kwa nguvu zote, hizi perepeche za wanasiasa zisituyumbishe.
 
Zitto and ACT you are now doing great job.Keep it up.

Tusiwe watumwa wa historia kuangalia makosa ya nyuma bali tuungane kuipinga CCM vinginevyo hii vita itatushinda.

CCM ndio adui yetu mkubwa na si Zitto na historia yake.
 
Back
Top Bottom