Recent content by Diagram

  1. D

    JamiiForums Tanzania Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

    Jamani imekuwa kamtindo wanawake kunitongoza kwa ishara na wengine huwa wananiambia kabisa,wengine wanawatuma rafiki zao! Sasa huwa najiuliza mi nina nini?by the way, Maisha yangu ni duni sana... Sijawahi kumkubalia hata mmoja kwa kuhofia hali yangu ya maisha duni. Naombeni ushauri wakubwa
Back
Top Bottom