Recent content by Dhamir Ramz

  1. D

    CUF kutoshiriki Uchaguzi wa marejeo wa Machi 20 Zanzibar

    AZIMIO LA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA KUHUSU TANGAZO LA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR LA KUITISHA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – Chama Cha Wananchi), likiwa ndiyo chombo cha juu cha maamuzi katika Chama baada ya...
  2. D

    UVCCM Zanzibar wapingana na tamko la CCM Taifa kuomba radhi kuhusu mabango ya ubaguzi

    Kama unakumbuka mauaji ya Januari 26/27 mwaka 2001 yalipata baraka zake yeye na ni yeye ndie ambae anahofia kurudiwa na sheria za jinai iwapo upinzani utaongoza serikali hapa Zanzibar.
  3. D

    UVCCM Zanzibar wapingana na tamko la CCM Taifa kuomba radhi kuhusu mabango ya ubaguzi

    Hahahahah! Ahsante sana mkuu, ni kweli huruma ilipita!
  4. D

    UVCCM Zanzibar wapingana na tamko la CCM Taifa kuomba radhi kuhusu mabango ya ubaguzi

    Wanapinga wakiwa kama ni UVCCM Zanzibar. Huyu Shaka ni miongoni mwa wanaoongoza kampeni za kibaguzi hapa Zanzibar.
  5. D

    UVCCM Zanzibar wapingana na tamko la CCM Taifa kuomba radhi kuhusu mabango ya ubaguzi

    Fikra ya leo kwa kifupi: Kwanza: Jana kulizagaa taarifa za Maalim kumuandikia barua Pope Francis ili aingilie kati kutafuta suluhisho la uhuni uliofanyika Oktoba 28 na kuitia Zanzibar katika mkwamo wa kisiasa na kiuchumi. Kinachozungumzwa sana na wasiojielewa ni kunasabisha udini na utamaduni...
Back
Top Bottom