usilolijua ni usiku wa giza na unaolijua unaomba Mungu upate nafasi ingine ya kurekebisha uliyoharibu toka kinywani mwako. hao watoto wa watu wanashida gani na jamii yao? Nadhani tuheshimu mawazo na matendo binafsi yahusuo maisha ya kila mmoja pasipo kuwaingilia ndani mwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.