Habari watanzania mimi ni kijana wa miaka 20 nina advance diploma ya IT, nina wazo zuri la kukuza elimu na kuongeza ufaulu katka nchi yetu ninayo proposal tayari sema sima mtu wala kampuni ya kusapoti.
Napmba ushrikiano namba yangu +255712709179
Habari wananchi nini wazo ambalo linabadili ufaulu wawanafunzi hasa kidato cha nne nakufuta aibu tulionayo sema sina mtu au kampuni ya kuniwezesha.
Naombeni msaada tufanikishe hili ninayo proposal tayar kwa maeasiliano namba yangu ni +255712709179
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.