Recent content by devotacassian

  1. D

    JamiiForums Tanzania Escrow: Kilaini, Ngeleja, Tibaijuka, Naiko kila mtu anena lake. Wengine hawajui wamrudishie nani

    Sawa kabisaaa. Askofu alipokea kama sadaka hakupokea kama sijui hongo au nini. Na Askofu asingeweza kuhoji pesa umepata wapi Na siku zote sadaka ikitolewa huwa haiojiwi imetoka wapi. Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Fundisho kwa wanaume ajali inapotokea

    Safiiiiiiiiii. Wanaume wangekuwa hivii. Talaka zisingekuwepo. Tuache mapenzi ya kuigiza
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msajili alaani vurugu zilizotokea katika mkutano wa wanaosemekana ni viongozi wa CUF na Waandishi

    Msajili ndiye aliyeharibu CUF. Kumtambua lipumba wakati alishajiuzuru huu mzigo na hii dhambi ni ya kwako Msajili. CUF wamepambana wenyewe wakati wa uchaguzi wakafanikiwa kupata viti vya ubunge Leo hii Lipumba eti baada ya uchaguzi anarudishwa kwenye uenyekiti jamani mmeona wapi hii na hii ndo...
Back
Top Bottom