Recent content by dev92

  1. D

    Ulimwengu wa Electronics...

    Ndugu, Nimependa kukushirikisha jambo hili ambalo, kimsingi, katika ulimwengu wa sasa halikwepeki kabisaaa... Jambo hili ni kama kichwa cha mada hii kinavyosema hapo juu. Nina amini kuwa umeshawahi kusikia hili neno "ELECTRONICS", na kwa ulimwengu wa sasa siyo neno geni kabisa, kwa sababbu...
  2. D

    Jamani wanawake!! "mikucha mirefu siyo urembo wala mapambo"

    Kwakweli limekuwa ni jambo la kushangaza sanaaa, katika nyakati za sasa, kwa kuona wanawake si wasichana tu bali hata watu wazima hata wengine wameolewa, wanapapalika na kufuga kucha zao za mikononi hata za miguuni hadi ziwe ndefuuuu hata kufikia urefu wa sm 1 hata zaidi, na wengine wananunua na...
  3. D

    Mwanamume ni dhaifu kwa mwanamke, lakini mwanamke huwa dhaifu zaidiii kwa mwanamume

    Usemi huu, una ukweli usiopingika, na hii ni kutokana na uhalisia wa kimatokeo yatokanayo na nini kinatokea pindi watu hawa wa jinsi mbili tofauti (yaani; me na ke) wakutanapo. Kwa asili, mwanaume udhaifu wake huwa upo kwa kuangalia, pindi tu mwanaume anapomwona mwanamke hasa ikiwa maumbile...
  4. D

    Jamani wanawake!! "Mikucha mirefu si urembo wala mapambo"

    Kwakweli limekuwa ni jambo la kushangaza sanaaa, katika nyakati za sasa, kwa kuona wanawake si wasichana tu bali hata watu wazima hata wengine wameolewa, wanapapalika na kufuga kucha zao za mikononi hata za miguuni hadi ziwe ndefuuuu hata kufikia urefu wa sm 1 hata zaidi, na wengine wananunua na...
  5. D

    Karibu kwa huduma ya ufundi wa vifaa vya electronics na umeme

    Karibu wa huduma ya ufundi wa vifaa vyote vya electronics na umeme, kwa ufundi wenye uhakika bila ubabaishaji na uaminifu wa hali ya juu. Vifaa hivyo ni kama;- Tv aina zote, Projectors, Amplifiers, mixers, Vinanda, Machine za kufulia, machine kubwa na ndogo za kuprint, machine za mazoezi...
  6. D

    Niliingia chuo na matarajio ya kuwa na mahusiano angalau namimi lakini hadi sasa mambo yamekuwa tofauti, nifanyaje?

    YAANI UNASIKITIKA KWA KUKOSA KUWA KWENYE MAHUSIANO!!! DAAH!! NADHANI UNGESHUKURU SANA KUWA WEWE NI KIJANA WA KIPEKEE KUTOKUWA KWENYE JAMBO AMBALO WANAULIMWENGU WA SASA WAMECHANGANYIKIWA NALO, YAANI HAYO MAHUSIANO YA ''MINGONONGONO'' HUKO UNATAFUTA MATATIZO TU NA KUUMIZWA. WEWE TULIA NA...
  7. D

  8. D

    Huduma za ufundi wa vifaa vya electronics na umeme

    Karibu kwa huduma ya ufundi wa vifaa vyote vya electronics na umeme, kwa ufundi wenye uhakika bila ubabaishaji na uaminifu wa hali ya juu. Vifaa hivyo ni kama;- Tv aina zote, Projectors, Amplifiers, mixers, Vinanda, Machine za kufulia, machine kubwa na ndogo za kuprint, machine za mazoezi...
Back
Top Bottom