Recent content by Deus Minazi

  1. D

    Kwa nini tuwaombee waliokufa?

    Mtu aliyekufa akiwa anamuamini yesu ataishi milele(hatakufa anaendelea kuishi na kunena kama habili)
  2. D

    Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

    Ungekuwa kipofu usingehesabiwa dhambi,lakini Kwa kuwa wasema unaona dhambi Yako inakaa
  3. D

    WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

    Unaogopa kuungama dhambi Kwa padri Ili ufanye mara nyingi na kutubu mara nyingi
  4. D

    WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

    We Bado hujajua biblia ndugu,yawezekana unasomewa tu
  5. D

    Kuna mambo kadhaa nimeyafatilia kwenye biblia sikubahatika kuyaona

    Endelea kujifunza mwaya,ni kweli nimebaini una macho lakini hauoni Vipi Kuhuau baba mchungaji,au baba Yako?
  6. D

    Kuna mambo kadhaa nimeyafatilia kwenye biblia sikubahatika kuyaona

    Endelea kujifunza mwaya,ni kweli nimebaini una macho lakini hauoni
  7. D

    Ujumbe kwa Pengo: Kanisa Katoliki kutokubatiza watoto wa nje ya ndoa hauwatendei haki kiimani

    Inaonekana hata kusoma na kuelewa hujui kabisa Mimi (YOHANA)nawabatiza Kwa MAJI ila ajaye nyuma Yangu (YESU)Ana NGUVU kuliko mimi Yeye (YESU)atawabatiza Kwa ROHO MTAKATIFU na KWA MOTO NB.Rudi darasani kajifunze kiswahili upya ndugu inaonekana huna maarifa kabisa na MUNGU WETU MKUU anasema watu...
  8. D

    Ujumbe kwa Pengo: Kanisa Katoliki kutokubatiza watoto wa nje ya ndoa hauwatendei haki kiimani

    Kwani hujasoma popote juu ya mtu kuponywa Kwa Imani ya mwingine bro?
  9. D

    Wasabato (SDA) US ndio jamii ya watu wanaoishi Muda mrefu kuliko mmarekani yoyote.

    Ni kweli Ni kwelijumamosi ni siku ya Saba,lakini Sasa yesu mwenyewe amesema tukeshe tukiomba maana hatujui siku Wala saa. Swali: tunakesha siku ipi hapo? (Najua utasema sabato)
  10. D

    Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    Umri wa kubatizwa ni Miaka mingapi?? Umri wa mtu kuamini ni Miaka mingapi?mbona Petro yalimshimda akaanza kuzama ?au na yeye alikuwa kachanga
  11. D

    Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    Na Kwa yesu kufa na kufufuka ndio sababu ya kufanyika kuhani mkuu akihudumu hekalu la mbinguni Na si Kwa sababu ya kubatizwa na yohane
  12. D

    Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    Kama kweli umri. Ni kigezo basimiaka 30 ndio umri sahihi
  13. D

    Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    Yohan a amebatizwa akiwa tumboni Kwa roho mtakatifu,u abatizo was roho mtakatifu hauna umri brother, Alafu kingine abatizo alioustahili yesu si was maji,ila ule kufa na kufufuka ,soma vzr utanishukuru
Back
Top Bottom