Recent content by Deus Jovin

  1. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Kwa nini unafikiri kuwa: Suluhisho la Muungano ni kuvunjwa tu? Ongeza nyama kidogo.
  2. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

  3. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    NImeandika hoja yenye maneno 626 unasema hilo ni gazeti, huwezi kusoma yote. Kama huo ndio ukweli kuhusu uwezo wako wa kusoma maandiko unatafuta nini kwenye jukwaa hili. Hili ni jukwaa kwa ajili ya hoja zenye urefu wa makala za jarida. Kama huwezi hilo nenda Chit-chat forum iliyo kwa ajili ya...
  4. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    HAKUNA MAHALI NIMETAJA KINASABA CHA USHOGA WALA KINASABA CHA URIJALI Ndugu, nitawaachia wasomaji waamue nani mkweli na yupo mwongo. Kwa ajili hii, nitafafanua hoja yangu ya msingi kwa Kiswhaili. Nianze kwa kubainisha kuwa, kwenye hoja zangu mbili nilizoziwasilisha hapo juu kwa Kiingereza...
  5. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    ULOFA WA SAYANSI YA KIJENETIKI ULIOKUBUHU paqwa Unasema kuwa: "Disorder of sexual development ni anatomy na physiology. Haihusiani na kuwa homosexual. ... Ushoga ni tabia ..." Huo wako Sasa ndio ULOFA wa kisayansi au ubwege WA kisayansi uliokubuhu Ushoga ni tabia au hali? Shoga je...
  6. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Umeandika vizuri. Rasimu ya marekebisho ya Katiba ninayopendekeza itakomesha kero hizi. Sema tu umesahau jambo muhimu: Tanzania Bara wanahitaji sana ardhi ya Visiwa vya Zanzibar kwa ajili ya kuweka military bases. Hivi ni vituo vya kijeshi kwa ajili ya kutekeleza malengo ya usalama ya...
  7. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Kuna mambo tutofautishe: 1. Ushoga kama Hali na ulawiti kama tabia. 2. Hali ya kuwa na ashiki za kiume, ashiki za kike na ashiki za kishoga, na uwezo wa kutawala ashiki hizo. 3. Chimbo la ashiki zinazojutokeza kwenye miaka ya kubalehe. Hapa naongelea hili la kwanza na la tatu Ili kukosoa...
  8. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    NImeelewa maswali yako na maswali ya watu baki. Sasa nimefanya maboresho. Nimenyoosha misamiati Mjadala uendelee. Kribu
  9. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    NImekusoma. Baada ya kuelewa maoni yako na yale ya wengine, sasa nimefanya maboresho. Naambatanisha. Mjadala uendelee.
  10. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Mkuu P, Nimekusoma. Pia nimewasoma wachangiaji wote tangu jana kwenyenuzi huu. Sasa nimefanya maboresho yenye kubeba maoni yote. Naambatanisha toleo jipya. Karibu tusome pamoja.
  11. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Nimekubali. Hakika, mie ndiye nimekurupuka.... Nafuta hayo maneno. Asante.
  12. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Umeandika: Unaanzaje kuwashawishi Wazanzibar kwamba SMZ inafutwa. Ikiwa miaka 62 bado wanaengeneza Katiba ya kuilinda, wewe unaanzia wapi! Kumbuka ni Katiba ya Zanzibar ndio imezua mambo mengi hasa kwa Tanganyika. Kwamba Zanzibar ina ukuu hata mbele ya JMT! Jibu: Ule mgao wa 4% kutoka kwenye...
  13. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Soma hapa halafu urejee tujadili: Ni hivi: madeni na mikopo inahudumiwa kutoka kwenye JREF
  14. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Umeuliza: Na mwisho tuambie SMZ itakwenda wapi! kama ipo ya Tanganyika itarejeshwa? Jawabu: SMZ na STB hazipo. Mfumo wa 10 SARs unazimeza jumla. Tunabaki na mfumo wa kanda kumi (sio majimbo kumi) na serikali kuu moja. Zanzibar kunakuwa na SARs mbili badala ya SMZ Tanganyika kunakuwa na...
Back
Top Bottom