Mi sitoagi mawazo ila
iko hivi huwezi ukaja from nowhere ukaanza kwa kutuambia umewekexa sijui dolla ngapi ukapata dolla flani… ni wazi watanzania tunapenda matukio ila sio matukio bila details which coin was that kwaanzia october mpaka mwezi huu imepanda kwa asilimia almost 100? coin
gani...
kwa anayejuwa account ya sapro masai ya ig na aliwahi kufanya nao kazi anajuwa wazi hamna hizi sendo kwa sapro na vile vile mnaona nimepigwa ahsanteni.
Habari Ndugu zangu wanajamii wenzangu
Leo nmependa kuongelea moja ya biashara ndogo na zenye kuhitaji mtaji mdogo na faida kubwa sana.
Biashara ya Sendo za Kimasai.
1. Mtaji
Biashara hii inaweza kuchukuwa mtaji wa adi 200,000/= ambao unananua sendo kwa jumla kwa bei rahisi sana unasambaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.