Deus Boniface
Member
- Nov 3, 2021
- 10
- 6
Habari Ndugu zangu wanajamii wenzangu
Leo nmependa kuongelea moja ya biashara ndogo na zenye kuhitaji mtaji mdogo na faida kubwa sana.
Biashara ya Sendo za Kimasai.
1. Mtaji
Biashara hii inaweza kuchukuwa mtaji wa adi 200,000/= ambao unananua sendo kwa jumla kwa bei rahisi sana unasambaza vyuoni ofisini na mzigo ukibaki unatandika chini kama una mfuko wa saflet
2. Faida
Sendo zinatofautiana ambapo unaweza kupata kwa 6500,7000,7500,8500,5500, kwa bei ya jumla ambapo wewe utauza kwa 12,000 adi 15000 nadhani mnaona faida inapopatikana apo kqa mahesabu ya haraka kila sendo ina almost marambili faida.
3. Chimbo
kuhusu chimbo la hizi sendo kwangu mimi apa nachukulia kwa mdadaa mmoja apa mwenge dar es salaam na ananisafirishia mpaka kilimanjaro.
4. Changamoto
kila biashara ni wazi ina changamoto zake kwa hii biashara kwangu nimepata changamoto ya watu kutaka sana punguzo ambalo linaniulia mtaji ila kwasababu napenda kujenga connection nmejitahidi sana kupambana nao ivoo.
Mwisho kabisa biashara yeyote utakapoikatia tamaa ndo mwanzo wa kudorora.
Namba zake ni 0684325340
Na ambao wangependa kuona bidhaa instagram wanatumia @glowpinkly