Recent content by detos

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    kuhusu hii ya kuchelewa mtu msiwe na wasiwasi.muwe wavumilivu tu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    Ataweza kuwa mwiba wake mwenyewe?. Kwani hata kuuza nyumba za serikali ni ufisadi pia.
  3. D

    JamiiForums Tanzania ICC kupiga kambi Tanzania siyo dalili nzuri!

    Naungana nawe Full B
  4. D

    JamiiForums Tanzania ICC kupiga kambi Tanzania siyo dalili nzuri!

    Rwenye, huna hata chembe ya utanzania. Kama wanakuja kuangalia mwenendo wa uchaguzi, kuna kosa gani hapo?.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Islamic Foundation yawataka Waislam kuondoka vituoni baada ya kupiga kura

    Humu ndani kuna vibaraka wengi!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Islamic Foundation yawataka Waislam kuondoka vituoni baada ya kupiga kura

    Ustaarabu wa ccm upo wapi?.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wote wanaotoka CCM hawajiungi na CHADEMA moja kwa moja?

    Rassa, umejibu kishabiki
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe rudisha hela zetu

    Ulivyopigika wewe unaweza kuchangia. Au umepigika unataka kupewa hela na siyo kurudishiwa!.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa: CCM ni hodari kwa kuiba kura

    umeambiwa na Dr. Slaha au umejisikia kusema?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa: CCM ni hodari kwa kuiba kura

    Kwani kuhusu wizi wa kura ni uwongo?.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    hiyo tume huru ya kimahakama iundwe na memba wepi?. wanaoteuliwa na kulipwa na mtawala. sina imani nayo.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu hafla ya Kikwete, Magufuli na wasanii huu hapa

    Tuletee nyaraka za 10bn za mbowe kama sio mzushi. We ndo uliyempelekea hizo hela?.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Lowassa alijieleza kwetu tukamuelewa, pia wapo wengine wanakuja

    hicho ni chama ni chako mnambowa. chama kimetendea nini hao wakulima na wafakazi kama si kuwaibia kodi zao tu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Tulimtukana Lowassa kwa sababu fikra zetu ziliibiwa

    kuondoka kwa lowassa kumewazuzua wengi, kwani ndo imekuwa habari kuu. Miaka yote hii ccm walikubali kuishi na harufu ya kinyesi. nafikiri hiyo harufu ilikuwa pafyumu kwao ndo mana hawakujua kama ni harufu mbaya. bacteria wanapoamua kukiozesha kinyesi unalalamika. hiyo ni balaa.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Tulimtukana Lowassa kwa sababu fikra zetu ziliibiwa

    hao mwali wa kimakonde umewaweka kundi lipi?.
Back
Top Bottom