Sure bado wazanzibari wanadumisha Mila na tamaduni zao kwa asilimia kubwa, kama anaweza kupata mke wa kiislamu nje ya muongozo niliompa Mimi basi kutakuwa na walakini ama kwa huyo mwanamke au familia yake, haitokuwa rahisi kama unavyofikiria, huku watu wamelelewa bwana discipline iko juu Sana...
Sio kivile usiwachukulie poa, huku watoto wa kike hawana papara la kuolewa kwa sababu wanaume wengi wao huoa mke zaidi yammoja, so ukitafuta mke wazazi huchunguza Sana hasa ukitoka nje ya Zanzibar
Bosi wangu naona unazunguka saana lakini nikupe hints tu kuhusu wazanzibari, Mimi mwenyewe ni mzanzibari na naishi huku, naeafahamu wazanzibari in and out, kuhusu kuoa mwanamke wa kizanzibari muislamu wakati wewe sio muislamu hiyo ni ngumu Sana, ninachokushsuri kwanza kabla hujaja huku badili...
I don't know your background but you two have big problems you need to sit out and solve them as early as possible or else [emoji848]BOOM[emoji102][emoji2296][emoji3516]
Me nadhani tatizo lilianzia hapo wakati umempatia ukawa unarudi kumchukua na kumrejeshea, huenda kukawa na sababu, and hapo, ikiwa wewe unakaa nae miezi 6 hata mwaka bila bubdha yoyote, iweje wiki kadhaa tu au mwezi huwezi kumuachia kukaanae, huo ni unafsi, ulipaswa umuachie akae nae akimaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.