Recent content by deserve

  1. D

    JamiiForums Tanzania Startimes wanatatizo gani na itv

    Hata kwangu black screen
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Halima James Mdee na Community loan

    Tujuzeni jamani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kutoka Utumishi kuhusu Utapeli wa Ajira na Mikopo

    Watu matapeli na wanatumia majima ya watu kwa mfano kuna wanaojiita community loan wanapost kwa kutumia jina la mh.Halima James Mdee na namba za simu waliweka ya mh ila ukicheki jina limeandikwa Halima James tu.hivyo vyombo vya mawasiliano mtu anaposajili kweli huwa mnaangalia vitambulisho...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Halima Mdee anatoa Community loan?

    Samahani wanajamii mwenye mawasiliano na mh Halima Mdee atujulishe kama ni yeye anapost kwenye wall yake ya fb kuhusu mikopo ya Community loan au ni mtu anatumia jina lake watanzamia wenye vipato vidogo na maisha magumu tusije kuumia tunaomba utuhakikishie
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Halima James Mdee na Community loan

    Sijakuelewa Mwamakula
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Halima James Mdee na Community loan

    Asante nasubiri
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Halima James Mdee na Community loan

    Tunaomba wenye taarifa kabla watanzania wenye hali ngumu hatujaumia
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mh.Halima James Mdee na Community loan

    Mwenye kujua habari kuhusu community loan atujuze tusije kutapeliwa maana naona inapostiwa na wall ya Halima Mdee mara kwa mara akitusii tujiunge ili kujikomboa na mikopo yenye riba nafuu na maswali tunayouliza hatujibu he kweli ni Halima Mdee ndo ana post au ni mtu anatumia jina lake Mhe...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Manyanyaso haya tanesco mpaka lini

    Saaana wanakera mno watu wabagala kote hata siku tatu wanaweza kukata na hakuna taarifa yoyote kama ni mgao tuambieni tumechoka.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Bei ya mashine ya kukata nyama buchani

    Weka wazi tujue
  11. D

    JamiiForums Tanzania Bayport yapunguza makato.

    Me sitasahau nilikopa platnum credit milion moja na laki tatu salary slip kuja nadaiwa mil 3 na laki sita nilisota nalo afu wajanja wanataka ulipe kwa mda mrefu ili wakumalize vizuri lakini nilijitahidi nikalipa kwa mkupuo ikapungua kama laki sita kwa hy wakala faida kama mil 2 na
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa madrasa amchinja mwanafunzi wake.

    Hata mm nimepita maeneo hayo ni kweli kulikiwa na foleni kubwa sana mtoto mdogo wa kiume.
Back
Top Bottom